Tofauti kati ya marekesbisho "Adalbert wa Magdeburg"

1 byte added ,  miaka 13 iliyopita
d
no edit summary
(New page: 200px|thumb|Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg '''Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg''' (alifariki tarehe 20 Juni, 981) alikuwa askofu mkuu wa kwanza...)
 
d
 
==Maisha==
Adalbert alizaliwa Ujerumani na kuwa mtawa katika mji wa [[Trier]]. Baada ya kuwekwa wakfu kama askofu, mwaka wa [[961]] alitumwa mjini [[Kiev]], [[Urusi]] kama mmisionari. Kundi lake lote liliuawa, naye Adalbert peke yake aliweza kurudi Ujerumani. Baadaye aliteuliwa kuwa askofu mkuu wa dayosisi ya Magdeburg. Alianzisha madayosisi mapya pengi upande wa Mashariki wa Ujerumani, kama katika miji ya [[Naumburg]], [[Meißen]], [[Merseburg]], [[BrandeburgBrandenburg]], [[Havelberg]], na [[Poznan]]. Mwanafunzi wake mmoja aliyetakatifishwa kama yeye ni [[Adalbert wa Praha]].
 
==Tazama pia==
62,394

edits