Bjørnstjerne Bjørnson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Bjørnstjerne MartiniusMartinus Bjørnson.jpg|right|thumb|Bjørnstjerne Bjørnson]]
 
'''Bjørnstjerne Martinius Bjørnson''' ([[8 Desemba]], [[1832]] – [[26 Aprili]], [[1910]]) alikuwa mwandishi, mshairi na mhariri kutoka nchi ya [[Norwei]]. Katika Norwei ya karne ya 19, Bjørnson alikuwa mwandishi mkuu wa pili baada ya [[Henrik Ibsen]]. Mwaka wa 1903 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.