Willis Lamb : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: id:Willis Lamb
tarehe ya kufariki kwake
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Willis Eugene Lamb''' (amezaliwa [[12 Julai]], [[1913]] – [[15 Mei]], [[2008]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza [[usumaku]] wa [[atomu]] na kuboresha nadharia ya [[kwanta]]. Mwaka wa [[1955]], pamoja na [[Polykarp Kusch]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.
 
{{DEFAULTSORT:Lamb, Willis}}
[[Category:Waliozaliwa 1913]]
[[Category:Waliofariki 2008]]
[[Category:Wanasayansi wa Marekani]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]