Schutzstaffel - SS : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Modifying: fa:وافن اس‌اس
d The file Image:05528.jpg has been removed, as it has been deleted by commons:User:Mattbuck: ''w:commons:Commons:Deletion requests/Image:05528.jpg''. ''Translate me!''
Mstari 37:
==SS na [[maangamizi makuu ya Wayahudi wa Ulaya]]==
Tangu 1933 chama cha Kinazi kilianza kuwabagua Wayahudi wa Ujerumani. 1933 walifukuzwa katika ajira ya serikali na tangu 1935 waliondolewa uraia wa Ujerumani. 1939 baada kuanzisha vita viongozi waliamua kuwaondoa Wayahudi wote waliobaki katika Ujerumani. Mwanzoni walikuwa na mpango wa kuwahamisha mahali popote nje ya Ujerumani. Mipango hii pamoja na yale yaliyofuata ikakabidhiwa mkononi mwa SS iliweza kudai usaidizi wa idara mbalimbali za serikali ya Ujerumani, polisi, huduma za reli na vitengo vingine.
 
[[Image:05528.jpg|thumb|300px|Afisa wa SS aongoza Wapoland wa Kiyahudi waliofika kwa treni katika kambi la mauti ya Treblinka mw. 1942]]
Kati ya mipango mbalimbali ilikuwa mipango ya kuwapeleka [[Madagaska]] (baada ya kuteka [[Ufaransa]] iliyotawala kisiwa kama koloni) na hasa [[Poland]] iliyotwaliwa na Ujerumani 1939.