Dignitatis Humanae : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
"Dignitatis Humanae" ni jina la [[Kilatini]] la hati iliyotolewa na [[Papa Paulo VI]] na washiriki wengine wa [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] (kwa kura 2308 dhidi ya 70) tarehe 7 Desemba 1965 kuhusu uhuru wa dini. Tafsiri ya jina hilo ni "Hadhi ya Binadamu".
Tamko hilo la mwisho la [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] lilisababisha mijadala mikali wakati wa [[mtaguso mkuu]] na baada yake hata likachangia kwa kiasi kikubwa [[farakano]] la [[askofu]] [[Marcel Lefebvre]].
 
Tamko hilo la mwisho la [[Mtagusomtaguso wa pili wa Vatikanomkuu]] huo lilisababisha mijadala mikali wakati wa [[mtaguso mkuu]] na baada yake hata likachangia kwa kiasi kikubwa [[farakano]] la [[askofu]] [[Marcel Lefebvre]].
Sababu ni kwamba linasisitiza [[haki ya binadamu]] ya kufuata [[ukweli]] wa kidini kadiri alivyoujua, wakati mafundisho ya zamani yalikuwa yakisisitiza kuwa [[imani]] ya Kikristo ni ya lazima kwa [[wokovu]].
 
Sababu ni kwamba linasisitiza [[haki ya binadamu]] ya kufuata [[ukweli]] wa kidini kadiri alivyoujua, wakati mafundisho ya zamani ya [[Kanisa Katoliki]] yalikuwa yakisisitiza kuwa [[imani]] ya Kikristo ni ya lazima kwa [[wokovu]].
 
Lakini masisitizo hayo hayapingani, kwa maana ni [[wajibu]] wa kila mtu kuutafuta ukweli na kuufuata, ila Wakristo hawawezi kumlazimisha asiyejaliwa bado imani au mwanga wa kutosha, bali wanapaswa kuendelea kumtangaza [[Yesu]] kwa wokovu wa watu.
 
Kinyume cha baadhi ya matendo ya Wakristo wa zamani, [[Kanisa Katoliki]] linaamini kwamba [[Ukristo]] unapaswa kuenea kwa nguvu ya ukweli wake, sio kwa upanga, kwa kuwa [[Mungu]] mwenyewe anamheshimu [[binadamu]] na [[hiari]] yake.
 
Mfano bora ni ule wa [[Yesu Kristo]] na wa [[mitume]] wake.
Line 12 ⟶ 14:
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.vatican.va/archive/hist_councils/ii_vatican_council/index_it.htm Hati za Mtaguso wa pili wa Vatikano katika lugha mbalimbali, kikiwemo Kiswahili, katika tovuti rasmi ya Vatikano]