Alfred Fried : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuongeza viungo vya lugha nyingine
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Alfred Hermann Fried''' (11 Novemba [[1864]] – 5 Mei [[1921]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Austria]]. Alianzisha makampuni na majarida mengi kwa ajili ya amani. Mwaka wa 1911, pamoja na [[Tobias Asser]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.
 
[[Category:Waandishi]]