Waraka kwa Wafilipi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
 
Barua hiyo ni kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]].
 
Line 16 ⟶ 18:
 
Lakini kuna sehemu kali kuhusu [[wazushi]] ambayo inaanza ghafla (Fil 3:1b-4:1) na kufanya baadhi ya wataalamu wadhani kuwa barua jinsi ilivyo tangu [[karne I]] ni mshono wa barua mbili au tatu za mtume kwa Wafilipi.
 
 
==Kiungo cha nje==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
 
[[Category: Vitabu vya Agano Jipya|Fil]]