Waraka wa kwanza wa Petro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
viungo
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
 
[[Mtume Paulo]] alipokaribia kumaliza kazi yake, wengine kati ya [[mitume]] na wanafunzi wao walianza kuandika kwa [[uvuvio]] wa [[Roho Mtakatifu]].
 
Line 8 ⟶ 10:
 
Pamoja na hayo walihimizwa wasiogope maneno ya watu wengine wasiopendezwa na [[uongofu]] wao: hali ngumu ni fursa ya kulingana zaidi na [[Yesu]] mpole na mteswa (1Pet 1:1-12; 2:19-25; 3:13-5:14).
 
 
==Kiungo cha nje==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
 
[[Category:Vitabu vya Agano Jipya|Pet 1]]