Tofauti kati ya marekesbisho "Waraka wa tatu wa Yohane"

124 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
viungo
(New page: '''Barua ya tatu ya Yohane''' ni kitabu kimojawapo cha Agano Jipya katika Biblia ya Ukristo. Kuhusu mwandishi wa barua hiyo lilichelewa kutajwa jina la Mtume Yohane kutoka...)
 
(viungo)
{{Agano Jipya}}
'''Barua ya tatu ya Yohane''' ni kitabu kimojawapo cha [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
 
'''Barua ya tatu ya Yohane''' ni kitabu kimojawapo cha [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
 
Kuhusu mwandishi wa barua hiyo lilichelewa kutajwa jina la [[Mtume Yohane]] kutokana na yaliyomo na mtindo wa uandishi wake.
Mlengwa ni ''Gaio'', anayedhaniwa kuwa kiongozi mmojawapo wa jumuia fulani kati ya zile zilizomtegemea Yohane.
 
==Kiungo cha nje==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
[[Category:Vitabu vya Agano Jipya]]