62,394
edits
d (robot Adding: ca:Cordell Hull) |
d |
||
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
'''Cordell Hull''' (2 Oktoba [[1871]] – 23 Julai [[1955]]) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya [[Marekani]]. Kuanzia 1933 hadi 1944 alikuwa [[Waziri wa Mambo ya Nje]]. Mwaka wa 1945 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani''' kwa ajili ya kazi yake ya kuanzisha [[Umoja wa Mataifa]].
[[Category:Wanasiasa]]
|
edits