Miaka baada ya hijra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Hesabu hii ni ilianzishwa miaka 17 baada ya tukio lenyewe (638 [[BK]]) kufuatana na azimio la [[khalifa]] [[Umar]].
 
[[Waarabu]] waliwahi kuwa na kalenda iliyotumia mwendo wa mwezi. Lakini hawakuhesabu miaka. Kila mwaka ulitajwa kutokana na tukio fulani. Mwaka wa kuzaliwa kwake [[Mtume Muhammad]] hujulikana "Mwaka wa Tembo" kwa sababu mwaka ule [[Makka]] ilishambuliwa na jeshi la [[Ethiopia|Waethiopia]] lililokuwa na tembo wa kijeshi. Hata baada ya Muhammad desturi hii iliendelea. Mwaka wa [[Hijra]] mwenyewe uliitwa 'Mwaka wa kukubaliwa kwa safari" , mwaka uliofuata "Mwaka vita vilipoamriwa" n.k.
 
Wakati wa khalifa Umar haja la kuwa na hesabu inayoeleweka zaidi likaonekana hivyo hesabu ya Hijra likachaguliwa.