Miaka baada ya hijra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Miaka baada ya Hijra''' ni hesabu katika [[kalenda ya Kiislamu]].
 
Hesabu hii ni ilianzishwa miaka 17 baada ya tukio lenyewe (638 [[BK]]) kufuatana na azimio la [[khalifaKhalifa]] [[Umar]].
 
[[Waarabu]] waliwahi kuwa na kalenda iliyotumia mwendo wa [[mwezi]]. Lakini hawakuhesabu miaka. Kila mwaka ulitajwa kutokana na tukio fulani. Mwaka wa kuzaliwa kwake [[Mtume Muhammad]] hujulikana "Mwaka wa Tembo" kwa sababu mwaka ule [[Makka]] ilishambuliwa na jeshi la [[Ethiopia|Waethiopia]] lililokuwa na tembo wa kijeshi. Hata baada ya Muhammad desturi hii iliendelea. Mwaka wa [[Hijra]] mwenyewewenyewe uliitwa '"Mwaka wa kukubaliwa kwa safari," , mwaka uliofuata "Mwaka vita vilipoamriwa," n.k.
 
Wakati wa khalifaKhalifa Umar haja laya kuwa na hesabu inayoeleweka zaidi likaonekanailionekana hivyo hesabu ya Hijra likachaguliwaikachaguliwa.
 
Waarabu waliendelea kuhesabu miaka ya miezi halisi ya siku 29 au 30 kufuatana na kuonekana halisi kwa mwezi. [[Kalenda]] ya kikristo hufuata jua badala ya mwezi ikitumia vipindi vinavyoitwa "mwezi" vilevile lakini havilingani na kuonekana kwa mwezi mwenyewe. Hivyo miaka ya Kiislamu ina jumla ya siku takriban 354. Mwaka huo wa Kiislamu una siku 11 kasoro siku zile 365 za [[mwaka wa jua]] katika [[kalenda ya kikristo]]. Katika mwaka 2006 BK hesabu ya hijra ni 1427.
 
[[Uajemi]] hutumia hesabu ya miaka ya Hijra pamoja na mwaka wa jua. Hivyo mwanzo wa 2006 BK huko Uajemi ni mwaka 1384 baada ya Hijra.