Pate : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Lamu Pate Map.jpg|thumb|right|300px|Ramani ya kisiwa cha Pate (Kenya)]]
'''Pate''' ni kisiwa kikubwa cha [[funguvisiwa]] ya [[Lamu]] mbele ya pwani la [[Kenya]] katika [[Bahari Hindi]]. Pate ni kisiwa ambacho ni karibu na [[Somalia]]. Wakati ya maji kujaa Pate inagawanywa katika sehemu mbili kwa mtaro wa bahari karibu na [[Siyu]]; wakati wa maji kupwa mtaro huwa ni pakavu.
 
Pate ilikuwa kati ya mahali pa kwanza pa kutembelewa na wafanyabiashara [[Waarabu]], labda kuanzia karne ya 7 [[BK]]. Inawezekana ilikuwa tayari kati ya mahali palipotajwa katika taarifa za kale kuhusu [[Azania]] kama vile [[Periplus ya Bahari ya Eritrea]].