Tofauti kati ya marekesbisho "Kitabu cha Yuditi"

2,097 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
(New page: '''Kitabu cha Yudith''' ni kimojawapo kati ya vitabu deuterokanoni vya Biblia. Kimo katika Septuaginta na katika Agano la Kale la Kanisa Katoliki, la Waortodoksi ...)
 
'''Kitabu cha Yudith''' ni kimojawapo kati ya vitabu [[deuterokanoni]] vya [[Biblia]].
 
Kimo katika [[Septuaginta]] na katika [[Agano la Kale]] la [[Kanisa Katoliki]], la [[Waortodoksi]] wengi na la baadhi ya [[Waprotestanti]], lakini si katika [[TanachTanakh]] ya [[Uyahudi]] wala katika [[Biblia]] ya [[Waprotestanti]].
 
Hadithi hiyo, iliyoandikwa katika [[karne ya 1 K.K.]] inahusu wakati wa mfalme [[NebukadnezaNebukadreza]], na vita vyake dhidi ya [[Israeli]] ([[karne ya 6 K.K.]]).
 
Kinyume cha matarajio, Yudith, mwanamke wa kabila la [[Yuda]], aliweza kupata ushindi kwa imani na ushujaa wake.
Habari hiyo ya ajabu ilipata mwangwi kwa wingi katika sanaa mbalimbali.
 
Wengi wanaona katika Yudith kielelezo cha [[Bikira Maria]] katika mapambano dhidi ya shetani, hasa kutokana na maneno yafuatayo: "Umebarikiwa, binti yangu, usoni pa Mungu Aliye Juu, kuliko wanawake wote duniani. Na ahimidiwe Bwana Mungu, Muumba mbingu na nchi, aliyekuongoza hata ukampiga kichwa mkuu wa adui zetu" (Yudith 13:18).
 
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[sv:Judits bok]]
[[zh:友第德]]
 
<div style="margin: 1em 0em; padding: 1em; text-align: center; border: 2px solid blue; background-color: none; clear: both;">
<div>'''Vitabu vya [[Agano la Kale]]'''</div>
[[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]]
[[Kutoka (Biblia)|Kutoka]]
[[Walawi (Biblia)|Walawi]]
[[Hesabu (Biblia)|Hesabu]]
[[Kumbukumbu la Sheria (Biblia)|Kumbukumbu]]
[[Kitabu cha Yoshua|Yoshua]]
[[Maamuzi]]
[[Kitabu cha Ruthu|Ruthu]]
[[Samueli I]]
[[Samueli II]]
[[Wafalme I]]
[[Wafalme II]]
[[Mambo ya Nyakati I]]
[[Mambo ya Nyakati II]]
[[Kitabu cha Ezra|Ezra]]
[[Kitabu cha Nehemia|Nehemia]]
[[Kitabu cha Esta|Esta]]
[[Kitabu cha Tobiti|Tobiti]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Yuditi|Yuditi]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Esta|Esta]]
[[Kitabu cha Wamakabayo I|Wamakabayo I]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Wamakabayo II|Wamakabayo II]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Yobu|Yobu]]
[[Kitabu cha Zaburi|Zaburi]]
[[Kitabu cha Methali|Methali]]
[[Kitabu cha Mhubiri|Mhubiri]]
[[Kitabu cha Hekima|Hekima]] <sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Yoshua bin Sira|Yoshua bin Sira]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Wimbo Ulio Bora]]
[[Kitabu cha Isaya|Isaya]]
[[Kitabu cha Yeremia|Yeremia]]
[[Kitabu cha Baruk|Baruk]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Ezekieli|Ezekieli]]
[[Kitabu cha Danieli|Danieli]]
[[Kitabu cha Hosea|Hosea]]
[[Kitabu cha Yoeli|Yoeli]]
[[Kitabu cha Amosi|Amosi]]
[[Kitabu cha Obadia|Obadia]]
[[Kitabu cha Yona|Yona]]
[[Kitabu cha Mika|Mika]]
[[Kitabu cha Nahumu|Nahumu]]
[[Kitabu cha Habakuki|Habakuki]]
[[Kitabu cha Sefania|Sefania]]
[[Kitabu cha Hagai|Hagai]]
[[Kitabu cha Zekaria|Zekaria]]
[[Kitabu cha Malaki|Malaki]] - <small>Alama ya <sup><small>DK</small></sup> inaonyesha vitabu vya [[deuterokanoni]] visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.</small>
<div class="references-small"><references/></div>
</div>