Hua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 15:
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Hua''' ni [[ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Streptopelia]]'' katika [[familia]] [[Columbidae]]. Spishi nyingine huitwa '''tetere''', '''kuyu''' na '''fumvu'''. Wana rangi kijivu, kahawia na nyupe na spishi nyingi zina rangi pinki. Jenasi hii inatoka [[Afrika]] lakini spishi kadhaa zimeingia Ulaya na Asia. [[Hua mkufu wa Ulaya]] na hua madoa ([[w:Spotted Dove|Spotted Dove]]) wamewasilishwa katika [[Marekani]]. Hua hula [[mbegu]], [[tunda|matunda]], [[mmea|mimea]] na pengine [[mdudu|wadudu]]. Hujenga tago lao la vijiti kwa miti au miwamba au chini kati ya manyasi. Jike hutaga mayai mawili kwa kawaida.
 
==Spishi za Afrika==