Diokletian : Tofauti kati ya masahihisho

55 bytes removed ,  miaka 14 iliyopita
d
d (roboti Nyongeza: uk:Діоклетіан)
 
[[Image:Diocletian.jpg|thumb|right|Kaizari Diokletian]]
 
'''Gaius Aurelius Valerius Diocletianus''' (takriban [[245]] – takriban [[312]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[20 Novemba]], [[284]] hadi [[1 Mei]], [[305]] alipojiuzulu. Alimfuata [[Kaizari Numerian|Numerian]]. Kwanza alitawala dola zima, lakini [[1 Machi]], [[286]] alimteua [[Maximian]] kutawala sehemu za Magharibi.