Wati : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
New page: '''Wati''' (pia:'''watt''') ni kizio cha kupima nguvu. Kifupi chake ni '''W'''. Fomula yake ni '''kg·m<sup>2</sup>·s<sup>−3</sup... |
Formula |
||
Mstari 1:
'''Wati''' (pia:'''watt''') ni kizio cha kupima [[nguvu]]. Kifupi chake ni '''W'''. Fomula yake ni '''[[kilogramu|kg]]·[[mita|m]]<sup>2</sup>·[[sekunde|s]]<sup>−3</sup>'''.
<math>\mathrm{1\, W = 1\, \frac{kg\, m^2} {s^3}}\mathrm{{} = 1 \, \frac{J}{s}} = 1\, \mathrm{VA}</math>
Inaelezwa kuwa ni nguvu inayotokea kama [[juli]] moja ya [[nishati]] inatumiwa kwa muda wa [[sekunde]] moja. Hivyo inawezekana kuiandika pia kama '''J/s'''.
|