Schutzstaffel - SS : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d The file Image:05528.jpg has been removed, as it has been deleted by commons:User:Mattbuck: ''w:commons:Commons:Deletion requests/Image:05528.jpg''. ''Translate me!''
d The file Image:Die_Uniformen_der_SS-Verfügungstruppe.jpg has been removed, as it has been deleted by commons:User:Kved: ''In category Unknown as of 6 August 2008; no source''. ''[[m:User:
Mstari 31:
 
Uongozi mkuu wa polisi pamoja idara ya usalama wa SS vikaunganishwa katika ofisi kuu ya usalama (RSHA au "Reichsicherheitshauptamt").
 
[[Image:Die Uniformen der SS-Verfügungstruppe.jpg|thumb|right|Sare za Waffen-SS (SS-silaha)]]
==SS na Vita Kuu==
Mwanzoni wa vita kuu ya pili ya dunia SS iliomba na Hitler kupewa kibali cha kuanzisha vikosi "SS silaha"" (Waffen-SS) vilivyoshiriki katika mapigano vitani. Kitengo hiki cha Waffen-SS kikaongezewa katika miaka iliyofuata hadi kufikia wanajeshi 900,000 mwaka [[1944]]. Shabaha ya Himmler ilikuwa kupata jeshi lake kwa sabau hakuwa na imani katika itikadi ya majenerali wa jeshi la kawaida.