Helmut Schmidt : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 6:
Baada ya kuachiwa huru akarudi tena masomoni na akaanza kusomea mambo ya uchumi. Alihitimu masomo yake hayo kunako mwaka wa 1949. Baada ya hapo akawa anafanya kazi ya utumishi katika mji wa [[Hamburg]].
 
Alijiunga na chama cha [[SPD]] mnamo mwaka wa [[1949]]. Mnamo 1953 akawa mwanachama wa [[Bundestag]] kwa mara ya kwanza. Kuanzia 1961 hadi 1965 alikuwa Seneta wa jimbo la serikali la Hamburg.
 
Kuanzia 1969 hadi 1972 alikuwa [[Waziri wa Ulinzi]] wa Ujerumani ya Magharibi, na kuanzia 1972 hadi 1974 alikuwa [[Waziri wa Fedha]].
 
Baada ya [[Willy Brandt]] kuachia ngazi kuwa kama [[Bundeskanzler]], Helmut Schmidt akachaguliwa kuwa chancela mpya wa Ujerumani.
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.dhm.de/lemo/html/biografien/SchmidtHelmut/ Biography at the German Historic Museum (German)]
Line 23 ⟶ 24:
 
 
{{DEFAULTSORT:Schmidt, Helmut}}
 
[[Category:Wanasiasa wa SDP]]
[[Category:Wanachama wa Bundestag ya Ujerumani]]
Line 32 ⟶ 33:
 
{{Kanzler}}
 
 
 
 
 
{{Stub}}
 
 
 
{{commons}}