Alexander von Humboldt : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:AvHumboldt.jpg|thumb|250px|Alexander von Humboldt alivyochorwa na [[Joseph Karl Stieler|Joseph Stieler]] 1843]]
 
'''Friedrich Wilhelm Heinrich Alexander Freiherr von Humboldt''' ([[14 Septemba]], [[1769]] – [[6 Mei]], [[1859]]) alikuwa mpelelezi na mwanasayansi kutoka [[Prussia]] katika [[Ujerumani]]. Kaka yake alikuwa waziri wa elimu wa Prussia na mtaalamu wa lugha.
 
Alexander alifanya utafiti muhimu katika [[jiografia]] na [[biolojia]].
Mstari 7:
Humboldt alizaliwa mjini [[Berlin]]. Babake Alexander Georg von Humboldt alikuwa mwanajeshi wa Prussia. Akiwa mtoto Alexander alipenda kukusanya mimea, konokono na wadudu.
 
Kati ya 1799 na 1804 Humboldt alidafirialisafiri katika [[Amerika ya Kusini]] akiwa mwanasayansiwmwanasayansi awa kwanza wa kuandika juu ya safari yake katika maeneo haya. Alitambua tayari ya kwamba Amerika Kusini na Afrika ziliwahi kuwa bara ya pamoja kutokana na aina za mimea na wanyama zilizokuwa karibuizilizofanana pande zote mbili.
 
Baadaye aliongeza safari ya kutembelea Asia ya Kati na sehemu kubwa ya muda wake alitumia kuandika taarifa ya safari hizi na kufanya utathmini ya yale aliyoona na kuktakukuta. Alijaribu kukusanya ujuzi wote wa sayansi wa wakati wake katika "Kosmos" ilyikokuwailiyokuwa aina ya kamusi elezo yenye vitabu vitano.
 
== Viungo vya Nje ==
Mstari 21:
* [http://www.bbc.co.uk/radio4/history/inourtime/inourtime_20060928.shtml "Alexander von Humboldt"], from ''[[In Our Time]]'', a 45 minutes [[BBC Radio 4]] program.
 
{{DEFAULTSORT:Humboldt, Alexander}}
 
[[Category:Waliozaliwa 1769]]
[[Category:Waliofariki 1859]]
[[Category:Watu wa Ujerumani]]
[[Category:Wapelelezi]]