Ali Hassan Mwinyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Ali Hassan Mwinyi''' (amezaliwa [[8 Mei]], [[1925]]) alikuwa Rais wa Pili wa Tanzania kuanzia 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni [[Mwalimu Julius Nyerere]], na aliyemfuata ni [[Benjamin Mkapa]]. Kabla hajachaguliwa kuwa Rais, Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Makamu Rais. Pia alikuwa mwenyekiti wa [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM) kuanzia 1990 hadi 1996.
 
Mwinyi alizaliwa kwenye kisiwa cha [[Unguja]] (Zanzibar).