Gerhard Schröder : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|right|350px|Gerhard Schröder akiwa na Rais wa [[Marekani Bw. George W. Bush.]] '''Gerhard Schröder''' (amezaliwa tar. 7 Aprili, 1944 mj...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:38, 23 Agosti 2008

Gerhard Schröder (amezaliwa tar. 7 Aprili, 1944 mjini Mossenberg) alikuwa chansela wa Ujerumani kuanzi 1998 hadi 2005. Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2005, akapokelewa na Angela Merkel. Huyu ni mwanachama wa chama cha kisiasa cha Kijerumani cha SPD (Social Democratic Party of Germany).

Gerhard Schröder akiwa na Rais wa Marekani Bw. George W. Bush.

Viungo vya nje





 
WikiMedia Commons