Content deleted Content added
→‎Makala za Kongo: new section
dNo edit summary
Mstari 1:
Maybe it is wise to tell that I speak English, German and Dutch. [[User:Carsrac|Carsrac]] ([[User talk:Carsrac#top|majadiliano]]) 11:10, 25 Agosti 2008 (UTC)
 
 
Karibu katika Wikipedia ya Kiswahili! Tunafurahia tukiona kila mmoja akiingia na kujiunga nasi. Endapo utakuwa na swali basi uliza tu, utajibiwa. Baada ya kukukaribisha katika Wiki hii, nimeona baadhi ya marekebisho yako katika kurasa ya "[[Global Voices]]", lakini hayakuwa na msingi wowote ule kabisa. Sikuelewa ni kwanini uliiteua kurasa ile kwa mafuto ya haraka? Je una-kigezo gani cha kusema kurasa ile ifutwe? Je upo katika majaribio fulani ama namna gani? Ndugu unaombwa ujibu katika kurasa hii yako ama katika kurasa ya "majafiliano ya Global voice". Ahksante.--[[User:Muddyb Blast Producer|Mwanaharakati]] ([[User talk:Muddyb Blast Producer|majadiliano]]) 09:35, 8 Aprili 2008 (UTC)
 
:Haya, nimeona umeanzisha makala nyingine yenye maelezo sawa na yale ya Global Voices, kisha ile ukaiteua ifutwe ama sivyo? Basi nishaweka sawa kila kitu! Nimeziweka zote mbili ila moja nimeifuta kutoka katika upande makala mpya kwasababu haina haja ya kuwa na kurasa mpya yenye vielezo sawa na awali - na ndiyomaana nimeisogeza kwa global voices badala ya kuunda makala mpya! Natumai utakuwa umenielewa. Ubarikiwe!--[[User:Muddyb Blast Producer|Mwanaharakati]] ([[User talk:Muddyb Blast Producer|majadiliano]]) 12:44, 8 Aprili 2008 (UTC)
 
Sorry, I do see this for the first time. And unluckly I don't understand a word of what you are tried to say. It is something about the article [[Global Voices]] or not?? [[User:Carsrac|Carsrac]] ([[User talk:Carsrac#top|majadiliano]]) 11:10, 25 Agosti 2008 (UTC)
 
== Makala za Kongo ==
 
Karibu, ndugu! Kuhusu swala lako la makala ulizoziandika juu ya nchi za Kongo, kwa kawaida siyo lazima kuandika makala mpya bali uweke rejeo tu, k.m. nilivyofanya na [[Ibrahimu]] (jinsi ya kuweka hiyo ni kuandika <nowiki>"#redirect [[Abrahamu]]"</nowiki>. Haya, kazi njema! Wasalaam, --[[User:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[User talk:Baba Tabita|majadiliano]]) 10:45, 11 Aprili 2008 (UTC)
 
Sorry, I do see this for the first time. And unluckly I don't understand a word of what you are tried to say. It is something about the article [[Ibrahimu]] or not?? [[User:Carsrac|Carsrac]] ([[User talk:Carsrac#top|majadiliano]]) 11:10, 25 Agosti 2008 (UTC)