Scarlet Ortiz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Scarlet Ortiz 3.jpg|thumb|right|160px|Muigizaji Scarlet Ortiz akiwa katika pozi.]]
'''Hevis Scarlet Ortiz Pacheco''' (alizaliwa tar. [[12 Machi]], [[1974]], [[Caracas]], [[Venezuela]]) ni muigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini [[venezuela]]. Anafamika zaidi kwa jina la Camila Montes de Alba katika tamthilia ya "Todo Sobre [[Camila]]" Iliyochezwa katika nchi mbili tofauti kati ya [[Peru]] na [[Venezuela]].
 
'''Hevis Scarlet Ortiz Pacheco''' (alizaliwaamezaliwa tar. [[12 Machi]], [[1974]], [[Caracas]], [[Venezuela]]) ni muigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini [[venezuelaVenezuela]]. AnafamikaAnafahamika zaidi kwa jina la Camila Montes de Alba katika tamthilia ya "Todo Sobre [[Camila]]" Iliyochezwailiyochezwa katika nchi mbili tofauti kati ya [[Peru]] na [[Venezuela]].
Ortiz pia ameigiza tamthilia nyingi ukiacha ile ya Todo Sobre Camila, moja kati ya tamthilia alizoigiza kama vile 'Mi Vida Eres Tu' iliyochezwa mwaka [[2006]] nchini [[Venezuela]], Todos Quieren con Marilyn iliyochezwa nchini [[Kolombia]] na Secreto de Amor iliyochezwa nchini kwao huko [[Venezuela]].
 
Ortiz pia ameigiza tamthilia nyingi ukiacha ile ya Todo Sobre Camila, moja kati ya tamthilia alizoigiza kama vile ''Mi Vida Eres Tu'' iliyochezwa mwaka [[2006]] nchini [[Venezuela]], ''Todos Quieren con Marilyn'' iliyochezwa nchini [[Kolombia]] na ''Secreto de Amor'' iliyochezwa nchini kwao huko [[Venezuela]].
 
==Muhtsari wa Tamthilia Alizoigiza==
Line 17 ⟶ 18:
==Viungo vya Nje==
* [http://www.freewebs.com/scarlet_ortiz Habazi na Picha za Scarlet]
1974
 
 
{{DEFAULTSORT:Ortiz, Scarlet}}
[[Category:Watu wa Venezuela]]
[[Category:Waigizaji wa Filamu Venezuela]]
[[Category:Telenovelas]]
[[Category:Tamthilia]]
[[Category:Waliozaliwa 1974]]
[[Category:Watu naWalio MaishaHai]]