Jacques Cartier : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fiu-vro:Cartier' Jacques
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Cartier.png|200px|right|frame]]
'''Jacques Cartier''' ([[31 Desemba]], [[1491]][[1 Septemba]], [[1557]]) alikuwa baharia na mpelelezi kutoka nchini [[Ufaransa]] aliyefanya safari tatu kwenda [[Amerika ya Kaskazini]]. Safari za Cartier zilikuwa msingi wa koloni ya Ufaransa katika eneo la [[Kanada]] ya leo.
 
Cartier alikuwa mwenyeji wa mji wa [[Saint-Malo]] katika kaskazini-magharibi ya Ufaransa iliyokuwa bandari ya wavuvi wenye uzoefu wa kuwa na safari ndefu baharini. 1534 alifanya safari yake ya kwanza ya kwenda Amerika Kaskazini kwa amri ya mfalme [[François I]] aliyemwagiza "kupeleleza visiwa na nchi zinaposemekana kuwa na dhahabu na vitu vingine vyenye thamani". Wakati ule taarifa juu ya dhahabu na fedha za Amerika zilipatikana tayari kupitia Wahispania waliowahi kuvamia sehemu kubwa za Amerika ya Kati na Kusini.
 
Cartier alifika kwenye pwani za [[Newfoundland]] na [[Quebec]] za leo akakutana na makabila ya Maindio wenyeji akasimamisha msalaba kama angazo ya kwamba alidai eneo kwa ajili ya mfalme wa Ufaransa. Alirudi mara mbili.
 
Cartier alipeleleza kisiwa cha Newfoundland, kisiwa cha [[Prince Edward Island]], [[mto Saint Lawrence]] na mahali pa [[Montreal]] ya baadaye alipokuta kijiji kikubwa sana ya Maindio.
Mstari 14:
{{stub}}
 
[[Category{{DEFAULTSORT:Watu wa Ufaransa|Cartier, Jacques]]}}
[[Category:Wapelelezi|Cartier, Jacqueskutoka Ufaransa]]
[[Category:WaliozaliwaWapelelezi 1491|Cartier,wa JacquesAmerika ya Kaskazini]]
[[Category:WaliofarikiMabaharia 1557|Cartier,wa JacquesUfaransa]]
[[Category:Waliozaliwa 1491]]
[[Category:Waliofariki 1557]]
 
[[af:Jacques Cartier]]