Sakuramachi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:30, 8 Septemba 2006

Sakuramachi (17201750) alikuwa mfalme mkuu wa 115 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Teruhito. Mwaka wa 1735 alimfuata baba yake, Nakamikado, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1747. Aliyemfuata ni mwana wake, Momozono.