Muziki wa dansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mpya. Asante sana Muddyb_Blast_Producer!
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Muziki wa dansi''' (au '''dansi''' tu) ni muziki kutoka nchini [[Tanzania]]. Ulianzishwa katika mji wa [[Dar es Salaam]] kunako miaka ya [[1930]], na unapendeka leo hadi leo hii. Muziki wa dansi unatokana na muziki wa [[soukous]] kutoka [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo-Kinshasa]] (au "rumba ya kikongo") na tokea hapo ikawa inaitwa "rumba ya Tanzania" pia. Kwa kawaida, maneno ya nyimbo ya muziki wa dansi ni kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]]; tokea hapo awali na pia dansi huitwa "swahili jazz" kwa lugha ya [[Kiingereza]].
 
==Historia==