Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 27:
|-
|style="font-size: 1.0em;" bgcolor="#F7F5D3" |
<h3 style="font-size:150%"><em style="color:orange;font-style:normal">&#8226;</em>'''Makala maalum:''' <br><center>'''[[CheAgostino Guevarawa Hippo]]'''</center></h3>
[[Image:AugustineLateran.jpg|thumb|200px|Picha ya kale zaidi ya Agostino katika kanisa la [[Laterani]], [[Roma]] (karne ya 6 BK).]]
[[Image:GuerrilleroHeroico.jpg|thumb|right|150px|Che Guevara.]]
'''Agostino wa Hippo''' ([[13 Novemba]], [[354]] &ndash; [[28 Agosti]], [[430]]) alikuwa [[mwanatheolojia]] na kiongozi wa kanisa katika [[Afrika ya Kaskazini]] wakati wa karne ya 5 BK. Kutokana na maisha, mafundisho na maandiko yake amepewa cheo cha mtakatifu pia cha mwalimu wa kanisa. [[Hippo]] ni jina la kale la mji Annaba katika [[Algeria]] ya leo alipokuwa askofu.
'''Ernesto Rafael Guevara de la Serna''' au '''Che Guevara''' (* [[14. Mei]] [[1928]] [[Rosario]], [[Argentina]]; † [[9. Oktoba]] [[1967]] [[La Higuera]], [[Bolivia]]) alikuwa mtabibu mzaliwa wa [[Argentina]] aliyekuwa mfuasi wa itikadi za [[Kisoshalisti]] za [[Karl Marx]]. Guevara anajulikana zaidi kwa harakati zake za kimapinduzi dhidi ya tawala za kibepari huko [[Amerika ya Kusini]] na [[Afrika]].
==Maisha yake==
 
Agostino alizaliwa mw. [[354]] [[BK]] mjini [[Thagaste]] pale [[Numidia]] (leo: [[Algeria]]) yaani karne mbili baada ya [[Origine]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Aurelius Augustinus''. Wakati ule Ukristo ulikuwa tayari dini iliyokubaliwa katika [[Dola la Roma]]. Mateso ya Wakristo yalikwisha. Mama yake Agostino alikuwa Mkristo, Baba mpagani aliyefuata dini ya zamani ya kuabudu miungu mingi. Alipata elimu yake katika Chuo Kikuu cha [[Karthago]] (leo: [[Tunis]]). Katika sehemu za magharibi za [[Afrika ya Kaskazini]] wenyeji wa kiasili walikuwa [[Waberiberi]], lakini watu wa mjini na wenye mashamba makubwa walikuwa wa asili ya Ki[[ulaya]] wakatumia hasa lugha ya [[Kilatini]]. Kwa jumla sehemu hii ya [[Afrika]] ilikuwa karibu na utamaduni wa Ulaya ya Magharibi.
Wakati akisomea utabibu, Che Guevara alizunguka katika nchi mbalimbali za Marekani ya Kusini ambapo alijionea mwenyewe umasikini uliokithiri. Alisikitishwa sana na maisha ya ufukara waliokuwa wakiishi wananchi wengi huku wachache wakiwa wanamiliki mali za nchi hizo. Alifikiria jinsi ya kuweza kubadili hali hii na kuamua kuwa njia pekee ya kuondoa umasikini na ukandamizaji ni mapinduzi. Aliamua kusoma kwa undani falsafa za Karl Marx na baada ya hapo alijihusisha na harakati za kisoshalisti nchini [[Guatemala]] chini ya rais [[Jacobo Arbenzi Guzmán]].
*[[CheAgostino Guevarawa Hippo|Soma zaidi kuhusu CheAgostino wa GuevaraHippo]].
 
Mwisho mwa miaka ya 1950, Guevara aliungana na [[Fidel Castro]] aliyekuwa akiongoza kundi la kijeshi lililotwaa madaraka kwa nguvu nchini [[Kuba]] mwaka 1959. Guevara alikuwa mmoja wa viongozi wa serikali mpya ya Kuba. Katika kipindi hiki, Guevara aliandika vitabu na makala mbalimbali kuhusu nadharia na vitendo vya vita vya msituni kwa nia ya kuondoa madarakani tawala za kibepari na kibeberu.
*[[Che Guevara|Soma zaidi kuhusu Che Guevara]].
<h3 style="font-size:100%"><em style="color:orange;font-style:normal">&#8226;</em>'''Ujenzi'''</h3>
[[Ujenzi]] -