Boutros Boutros-Ghali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Boutrous Boutrous-Ghali umesogezwa hapa Boutros Boutros-Ghali: Jina lake kamili ni Boutros, siyo Boutrous
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Boutros Boutros-Ghali.jpg|thumb|190px|Boutrous Boutrous-Ghali]]
 
'''Boutros Boutros-Ghali''' ([[Kar.]] '''بطرس بطرس غالي''', [[Kikopti]]: Bουτρος Βουτρος-Γαλι) (amezaliwa [[14 Novemba]], [[1922]]) ni mwanasiasa na mtaalamu wa sheria kutoka nchini [[Misri]]. Alikuwa katibu mkuu wa [[UM]] kati ya 1992 na 1996.
 
Alizaliwa katika familia ya Wakristo [[Wakopti]] mjini [[Kairo]]. Babu yake alikuwa waziri mkuu wa Misri. Baada ya shule alisoma sheria kwenye chuo kikuu cha [[Kairo]] akamaliza 1946 akaendelea kuchukua hati ya dokta huko [[Ufaransa]].
Mstari 7:
Baada ya kufundisha miaka kadhaa alipewa nafasi ya naibu waziri wa mambo ya nje chini ya raisi [[Anwar as-Sadat]]. Akishughulika amani kati ya [[Israeli]] na Misri alisaidia pia kuachishwa gerezani kwa [[Nelson Mandela]].
 
Kuanzia Januari 1992 hadi Januari 1997 alikuwa Katibu Mkuu wa UM, akiwa akiwaMwafrikaMwafrika wa kwanza kwenye nafasi hii.
 
{{DEFAULTSORT:Boutros-Ghali, Boutros}}
 
[[Category:WatuWaliozaliwa wa Misri|Boutros1922]]
[[Category:Wakopti|Boutros-Ghali,Wanasiasa Boutroswa Misri]]
[[Category:Watu wa UM|BoutrosWakopti]]
[[Category:Umoja wa Mataifa]]
 
[[ar:بطرس بطرس غالي]]