Meli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 27:
Jahazi ziliboreshwa hadi kuvuka bahari kuanzia karne ya 15 BK. Wachina na Wareno ni watu wa kwanza waliovuka bahari za mbali. Ila tu Wachina baada ya kutembelea mara kadhaa pwani za Afrika chini ya [[Zheng He]] mnamo mwaka 1400 waliamua kuacha upelelezi huu lakini Wareno waliendelea kuvuka Afrika na dunia yote na kuanzisha kipindi cha ukoloni cha Ulaya.
 
Katika karne ya 19 [[injini ya mvuke]] ilipatikana hata kwa meli. Meli zikawa kubwa zikaendleazikaendelea kukua wakati [[injini zaya diseli]] zimepatikanaimepatikana katika karne ya 20.
 
[[Image:Supertanker AbQaiq.jpg|thumb|300px|Meli kubwa ya shehena ya mafuta ya petroli]]
 
==Aina na idadi ya meli==
Bila kuangalia maboti madogo duniani kuna
* meli za kibiashara 34,882 zenye ukubwa wa [[tani GT]] zaidi ya 1,000; jumla ya meli hizi ni tani bilioni 1.04. (mwaka 2007)
** meli hizi zilibeba jumla ya shehena (mzigo) tani bilioni 7.4 (mwaka 2006) na kiasi hiki kimekuwa asilimia 8 kila mwaka.
**37.5% za meli hizi zilibeba shehena ya mafuta
**35.8% za meli hizi zilibeba shehena zilizofunguka kama vile [[madini]], [[makaa mawe]], [[nafaka]] au [[simiti]]
**10% zilikuwa meli za [[kontena]]
**10% ni meli zinazochanganya kila aina ya mizigo
* manowari 1,240 bila kuhesabu maboti madogo ya kijeshi (mwaka 2002)
** Marekani ilikuwa na tani milioni 3 za manowari, Urusi na tani milioni 1.35, Uingereza na tani milioni 0.5 na China na tani milioni 0.4.
*meli za kuvua samaki ni nyingi lakini ziko za kila ukubwa si rahisi kuzipanga. Kuna vyombo 38,400 zenye tani zaidi ya 100. Nyingi zaidi ni ndogo sana; meli kubwa ya kuvua samaki zafikia tani 3,000 halfu kuna meli za viwanda ambako kundi la meli zinapeleka windo la samaki na samaki hizi zinakatwa mara moja na kufungwa tayari kwa kuuzwa madukani zikitunzwa katika barafu.
 
 
[[Category:Meli| ]]