Tani GT : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Tani GT''' ni kifupi kwa tani ya aina ya "gross tonnage". Ni kipimo cha kutaja ukubwa wa meli kilichokuwa kawaida kimataifa tangu mwaka 1982 kufuatana na mapatano ya kimataifa k...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Tani GT''' ni kifupi kwa [[tani]] ya aina ya "'''gross tonnage'''". Ni kipimo cha kutaja ukubwa wa [[meli]] kilichokuwa kawaida kimataifa tangu mwaka 1982 kufuatana na mapatano ya kimataifa kuhusu upimaji wa ukubwa wa meli (The International Convention on Tonnage Measurement of Ships) ya mwaka 1969. Tani GT zilichukua nafasi ya vipimo vya awali vilivyoitwa pia [[tani]] lakini kwa mjao tofauti iliyokadiria mjao wa nafasi za [[shehena]] (mzigo) pekee.
 
Umuhimu wa tani GT ni ya kwamba kodi na malipo kwa ajili ya meli hufuata kipimo hiki kama vile kodi za kutumia mifereji ([[mfereji wa Suez|Suez]], [[mfereji wa Panama|Panama]]) au kukaa bandarini.