Ghafi ya tani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Lakini si mjao huu pekee yake. Idadi ya mita za mjao inazidishwa kwa namba inayotegemea ukubwa wa meli iko kati ya 0,22 na 0,32; yaani hali halisi asilimia 22 hadi 32 ya mjao inahesabiwa kuwa tani GT. Meli ndogo zinapata makadirio nafuu yaani ya asilimia 22 au karibu nayo halafu meli kubwa kubwa hukadiriwa kwa namba inayolingana zaidi na 32.
 
Meli yenye mjao wa [[mita yaza ujazo]] 10,000 inazidishwa na namba 0,28 hivyo kukadiriwa kuwa na tani GT 2,800.
 
[[en:Gross tonnage]]