Mita ya ujazo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|Mita moja ya ujazo ya [[saruji]] '''Mita ya ujazo''' (kifupi '''m³''') ni kipimo cha mjao chenye urefu, upana na kimo cha mita moja. Ni ...
 
No edit summary
Mstari 3:
'''Mita ya ujazo''' (kifupi '''m³''') ni kipimo cha mjao chenye urefu, upana na kimo cha [[mita]] moja. Ni kiwango katika vipimo vya SI. Jina lingine ni "kilolita".
 
Mita moja ya ujazo inalingana na [[lita]] 1,000 au [[sentimita za mjaoujazo]] 1,000,000.
 
1 m³ ya maji safi katika hali sanifu (halijoto ya 3.98 [[°C]]) na shindikizo sanifu ya hewaanga) huwa na masi ya kilogramu 1,000.