Tofauti kati ya marekesbisho "Mwongozaji wa filamu"

939 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
Masahihisho kadhaa!
d (Muongozaji moved to Mwongozaji over redirect: Sio Kiswahili sanifu. Bora ipelekwe kwa Mwongozaji...)
(Masahihisho kadhaa!)
[[Image:LondonSmog.jpg|thumbnail|right|400px|Mwongozaji wa filamu, upande wa kulia, akitoa maelekezo kwa washiriki, wakati uigizaji wa filamu za kimira katika maeneo ya mjini [[London]].]]
'''Muongozaji wa filamu''' ni mtu anayetoa maelekezo namna ya utengenezaji wa filamu, Kuanzia mandhari mpaka vitendo. Muongozaji yeye ndiye anatoa hadithi mzima kama ilivyoandika katika karatasi ya filamu vile inavyotakiwa iwe (Script) na kuelezea kwa [[muigizaji]] au waigizaji.
'''Mwongozaji wa filamu''' ni mtu anayetoa msaada wa kuongoza pindi mtu anapoigiza [[filamu]]. Wanaangalia vitu vya kisanii visiende kombo. Wanatoa maelekezo kwa [[Mwigizaji|waigizaji]] na kuongoza watu katika uigizaji wa filamu.
 
Mwongozaji wa filamu yeye ndiyo anayochukua jukumu zima wa wanachama wanaofnya kazi ya uigizaji (waigizaji, watayrishaji, na kadharika). Kwa mfano, mtu yule ambaye anashughulika na taa anamwambia mtindo gani unaotakiwa taa imulikwe pindi yeye anapotoa maelekezo kwa waigizaji.
 
Ni kawaida sana kwa waongozaji wa filamu kufanya kazi pamoja na [[mtayarishaji wa filamu]]. Mtayarishaji wa filamu ni mtu asiyehusika na upande wa kisanii wakati wa utengenezaji wa filamu. Kwa mfano, wao ndiyo wanaoshikiria fedha zote ambazo zinatumika kwa ajili ya utengenezaji wa filamu.
 
[[Category:Waongozaji wa Filamu Dunianifilamu]]
{{mbegu}}
 
[[Category:Sanaa]]
[[Category:Waongozaji wa Filamu Duniani]]
[[Category:Filamu]]
 
 
{{mbeguStub}}
 
[[da:Filminstruktør]]
[[de:Regisseur]]
[[en:film director]]
[[es:Director de cine]]
[[hr:Redatelj]]
[[hu:Filmrendező]]
[[nl:Regisseur]]
[[ja:映画監督]]
[[pt:Diretor de cinema]]
[[sl:Filmski režiser]]
[[fi:Elokuvaohjaaja]]
[[sv:Filmregissör]]