Tofauti kati ya marekesbisho "Mchezo wa ng'ombe"

1 byte added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
d (Reverted edits by 195.169.155.126 (Talk); changed back to last version by Kipala)
No edit summary
 
==Mchezo wa ng'ombe Pemba kisiwani==
Pemba ndipo mahali pa pekee katika [[Afrika]] penye desturi hii ya mchezo wa ng'ombe. Hii ni kutokana na athira ya [[Ureno]] kwenye mwambao wa [[Afrika ya Mashariki]] miaka 400 iliyopita. Mara Wareno walikuwa na kituo huko [[ChakechakeChake Chake]], mara walikuwa na mapatano ya usaidizi na Pemba, mara waliuachia utawala Sultani wa [[Mombasa]]. Haijulikani jinsi walivyoacha desturi hii Pemba.
 
Kuhusu mchezo huu amesema Abdullah Amur Suleiman (http://groups.msn.com/SitiBintiSaad/mchezowangombebullfight.msnw):