Meles Zenawi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
==Historia yake==
Zenawi alikuwa mwanafunzi wa [[ugangatiba]] kwenye [[chuo kikuu]] cha [[Addis Ababa]] wakati wa [[mapinduzi ya Ethiopia ya 1974|mapinduzi ya kikomunisti ya Ethiopia]] ya mwaka [[1974]]. 1975 aliacha masomo akarudi kwake Tigray akajiunga na [[Harakati ya Ukombozi wa Tigray TPLF]] iliyopinga serikali mpya. Tangu 1985 aliongoza TPLF.
1989 alikuwa mwenyekiti wa ushirikiano wa TPLF na vikundi vingine vya upinzani kutoka sehemu mbalimbali za Ethiopia.