Mapigano ya Adowa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:معركة عدوة
kiungo
Mstari 24:
Jeshi lake lilikuwa na vikosi vitatu vya Waitalia na kikosi kimoja cha askari kutoka [[Eritrea]]. Jumla ya wanajeshi ilikuwa 17,700 na mizinga 65. Hii ilikuwa nusu ya Waitalia wote waliopatikana katika Eritrea.
 
Baratieri alijua ya kwamba kulikuwako kambi kubwa ya Waethiopia karibu na mji wa [[Adowa]] alitaka kuwashambulia asubuhi wakati wa kucha kabla hawakuamka. Lakini vikosi vyake walipotea njia gizani waliposogea mbele usiku hawakufika kwa utaratiibu mzuri mahali walipokutana na jeshi la Negus.
 
Jeshi la Menelik lilikuwa la wanajeshi 80,000 hadi 100,000. Wengi wao walikuwa na bunduki zilizonunuliwa katika miaka iliyotangulia na Menelik kutoka wafanyabiashara Waitalia.