Antili Ndogo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:29, 10 Septemba 2006

Antili Ndogo ni kikundi cha visiwa vidogo katika Atlantiki mbele ya pwani la Amerika ya Kati. Ni sehemu ya kusini Visiwa vya Karibi. Antili ndogo ina umbo la pinde kati ya pwani la Venezuela na kisiwa kikubwa cha Puerto Rico.

Antili Ndogo ni sehemu ya kusini ya pinde la visiwa vya Karibi

Jiolojia

Pinde hufuata mstari wa mpaka wa bamba la Karibi. Visiwa vyote ni ya asili ya kivolkeno. Volkeno hai na mitetemeko ya ardhi ni kawaida.

Orodha ya visiwa

Visiwa karibu na pwani la Venezuela: