Tofauti kati ya marekesbisho "Meli"

no edit summary
 
==Historia==
Vyombo vya usafiri vya kwanza kwenye maji yalikuwa [[mashua]] na mabotima[[boti]] madogo kama [[mtumbwi]].
 
Kuanzia mwaka 4000 KK watu wa [[Misri ya Kale]] wameanza kutengeneza jahazi ndogo. Manmo 1200 KK watu wa [[Finisia]] na [[Ugiriki ya Kale]] walijenga jahazi kubwa zaidi yenye urefu wa mita 30. Wachina wanajulikana walijenga jahazi kuanzia 2000 KK. [[Waroma wa Kale]] walitengeneza meli iliyobeba watu 1,000.