Rafadha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|right|200px|Rafadha ya meli ilyoko nje ya maji gudani [[Image:Propeller EP-3E 1500x2100.jpg|thumb|right|200px|Rotating the [[Hamilton Standar...
 
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Propeller EP-3E 1500x2100.jpg|thumb|right|200px|Rotating the [[Hamilton Standard]] 54H60 propeller on a [[United States Navy|US Navy]] P-3 Orion|Rfadha ya eropleni huangliwa kabla ya kuruka]]
 
'''Rafadha''' (pia: rafardha; kutoka [[Kar.]] '''ارفض''' ''kusambaza''‎‎) ni chombo chenye umbo la [[panka]] kinachozunguka na kusogeza [[eropleni]] hewani au [[boti]] na [[meli]] kwenye maji.
 
Mara nyingi rafadha hutengenezwa kwa metali isipokuwa kuna pia rafadha za [[ubao]] kwa ndege au rafadha za [[plastiki]].