Laterani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Laterano''' (kwa Kilatini Lateranus) ni mtaa wa Roma maarufu hasa kwa sababu kulikuwa na ikulu la Kaisari Kostantino. Baada ya yeye kuruhusu Ukristo katika [[Do...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Laterano''' (kwa [[Kilatini]] Lateranus) ni mtaa wa [[Roma]] maarufu hasa kwa sababu kulikuwa na [[ikulu]] mojawapo la [[Kaisari]] [[Kostantino]].
 
Baada ya yeye kuruhusu [[Ukristo]] katika [[Dola la Roma]] (Hati ya [[Milano]], 313) ikulu liligeuzwa kuwa [[kanisa]] ambalo liliwekwa wakfu na [[Papa Melkiades]] (314), na mpaka leo linaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[kanisa kuu]] la [[jimbo]] la Roma na la ulimwengu mzima.
 
Tofauti na wanavyodhani wengi, ukulu wa [[Papa]] ni katika kanisa hilo, si katika lile la mtakatifu Petro huko [[Vatikano]].
 
Jina rasmi ni kanisa la [[Kristo]] Mkombozi, lakini watu wanaliita kwa kawaida kanisa la Mt. Yohane (Mbatizaji) kwa kuwa nyuma yake ipo [[batizio]] kuu, tena juu ya ukuta wake wa mbele kandokando ya [[sanamu]] ya marumaru ya [[Yesu]], zipo zile za [[Yohane Mbatizaji]] na [[Mtume Yohane]].
Line 7 ⟶ 9:
Ndani, juu ya [[altare]] kuu yanatunzwa mafuvu ya vichwa vya [[Mtume Petro]] na [[Mtume Paulo]].
 
Ndani ya kanisa hilo mara tano ulifanyika [[mtaguso mkuu]].
Kwa miaka mingi mapapa waliishi karibu na kanisa hilo, na mpaka leo seminari kuu ya jimbo (pamoja na [[chuo kikuu]] cha Kipapa cha Laterano) iko nyuma yake.
 
KwaMpaka miakauhamisho mingiwa [[Avignon]] ([[karne ya 14]]) mapapa waliishi karibu na kanisa hilo, na mpaka leo seminari kuu ya jimbo (pamoja na [[chuo kikuu]] cha Kipapa cha Laterano) iko nyuma yake.
Eneo lote ni nje ya mamlaka ya nchi ya [[Italia]] na linahesabiwa kuwa sehemu ya nchi huru ya Vatikano.
 
Eneo lote ni nje ya mamlaka ya nchi ya [[Italia]] na linahesabiwa kuwa sehemu ya nchi huru ya Vatikano.
Tofauti na wanavyodhani wengi, ukulu wa [[Papa]] ni katika kanisa hilo, si katika lile la mtakatifu Petro huko [[Vatikano]].