Jean Dausset : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Jean Dausset''' (amezaliwa 19 Oktoba, 1916) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza mfumo wa jeni. Mwaka wa [[1980]...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:07, 28 Septemba 2008

Jean Dausset (amezaliwa 19 Oktoba, 1916) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza mfumo wa jeni. Mwaka wa 1980, pamoja na Baruj Benacerraf na George Snell alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.