Moshi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Moshi_mosque.jpg|right|350px|[[Misikiti]] Kuu ya Moshi|thumb]]
 
'''Moshi''' ni makao makuu ya [[mkoa wa Kilimanjaro]] nchini [[Tanzania]]. Kabila linalopatikana katika mji huu ni la [[Wachagga]]. Wanapenda vyakula vinavyopikwa kwa kutumia ndizi. Chakula hiki kinajulikana kama Machalari. Wakazi wengi wa moshi ni wakulima na wafugaji.
 
[[Category:Miji ya Tanzania]]