Moshi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Moshi_mosque.jpg|right|350px|[[Misikiti]] Kuu ya Moshi|thumb]]
 
'''Moshi''' ni makao makuu ya [[mkoa wa Kilimanjaro]] nchini [[Tanzania]]. Kabila linalopatikana katika mji huu ni la [[Wachagga]]. Wanapenda vyakula vinavyopikwa kwa kutumia ndizi. Chakula hiki kinajulikana kama Machalari. Wakazi wengi wa moshi ni wakulima na wafugaji.Mji wa Moshi una mandhari nzuri ya kuvutia watalii ,Tunapata fedha za kigeni kwa maendeleo ya mji wetu.
 
[[Category:Miji ya Tanzania]]