Taizé : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Corect2 from Poland
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:http://de.wikipedia.org/wiki/Bild:Taizeoldchurch.jpg|thumb|right|200px]]
</gallery>'''Kuhariri Taizé''' (kiufaransa La communauté de Taizé, ,kingereza Taizé Community ) ipo kusini mwa Burgundy, Ufaransa. Hapa ndipo nyumba kuu ya jumuiya hii ya Kimataifa, iliundwa rasmi hapa mwaka 1940 na Bruda Roger. Mabruda wamejitolea maisha yao kushirikiana katika maisha yao ya kiroho na mali (Vitu), kuishi maisha ya useja na ufakara/maisha ya hali ya chini.Kwa sasa wapo Mabruda zaidi ya mia moja; wengi wao wanatoka kwenye makanisa ya Kikatoliki na aina mbali mbali ya makanisa yenye chimbuko la Kiprotestanti. Wantoka katika nchi ishirini na tano.Tangia mwishoni mwa miaka ya 1950 vijana wenye umri wa utu-mzima toka nchi mbali mbali, mamia kwa mamia wamefika Taizé kushiriki katika mikutano ya sala na tafakari za kila juma. Pia Mabruda wa Taizé utembelea na kuongoza mikutano/kongamano ya aina mbali mbali mikubwa na midogo katika mabara ya Ulaya,Africa, Amerika ya kaskazini na kusini, Asia, na pia ulaya ikiwa ni sehemu ya hija kujenga misingi ya kuaminiana.
Kutoka jumatatu hadi ijumaa
 
Mstari 22:
7.00 pm mlo wa usiku
8.30 pm sala ya jioni
 
 
[[fr:Communauté de Taizé]]