Kamusi ya Koloni za Kijerumani (1920) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: "'''Deutsches Koloniallexikon'''" ni jina la Kijerumani la "Kamusi ya Kikoloni ya Kijerumani" iliyotolewa mwaka 1920. Kamusi hii ilikusanya habari juu ya koloni zote za Ujerumani kabla...
 
dNo edit summary
Mstari 1:
"'''Deutsches KoloniallexikonKolonial-Lexikon'''" ni jina la Kijerumani la "Kamusi ya Kikoloni ya Kijerumani" iliyotolewa mwaka [[1920]]. Kamusi hii ilikusanya habari juu ya koloni zote za Ujerumani kabla ya 1914.
 
Kamusi imepita kipindi cha [[hakimiliki]] ikawekwa mtandaoni kama [[programu huria]]. Ni rejeo muhimu la habari za kihistoria kuhusu nchi zilizokuwa chini ya [[Ujerumani]] hadi [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] kama vile [[Tanzania]], [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Kenya]] ([[Witu]]), [[Namibia]], [[Togo]] na [[Kamerun]] barani [[Afrika]] na maeneo ya [[Pasifiki]] kama [[Samoa]], [[Guinea Mpya]] na [[visiwa vya Mariani]] halafu [[Tsingtao]] ([[Uchina]]).
Mstari 9:
Kamusi ilikuwa tayari [[1914]] lakini haikuchapishwa kwa sababu ya vita. Kuchapishwa kulitokea baada ya vita tu. Mhariri alikuwa Heinrich Schnee aliyewahi kuwa gavana ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].
 
== Marejeo ==
* Deutsches Kolonial-Lexikon / hrsg. von Heinrich Schnee. - Leipzig : Quelle & Meyer 1920. - 3 Bde.
 
== Viungo vya Nje ==
Kamusi inapatikana mtandaoni kwenye anwani:
[http://www.ub.bildarchiv-dkg.uni-frankfurt.de/Bildprojekt/Lexikon/lexikon.htm Deutsches Kolonialexikon]
 
 
[[Category:Ukoloni wa Ujerumani]]
[[Category: Historia ya Afrika]]
[[Category:Kamusi mtandaoni]]
 
 
[[de:Deutsches Kolonial-Lexikon]]