Tofauti kati ya marekesbisho "Fransisko wa Paola"

483 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
no edit summary
(New page: '''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' (14161507) alikuwa mtawa nchini Italia. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 2 Aprili. ==Maisha== Fransisko alizaliwa k...)
 
d
[[Image:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]]
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' ({{lang|it|Francesco di Paola}}, [[1416]] – [[1507]]) alikuwa [[mtawa]]] nchini [[Italia]]. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni [[2 Aprili]].
 
== Maisha ==
Fransisko alizaliwa katika mji wa [[Paola]], mkoa wa [[Kalabria]], [[Italia]], mwaka wa 1416. Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye lilibadilisha na kuwa [[Utawa wa Wadogo Kabisa]], na likapata kibali kutoka kwa Papa mwaka wa 1506. Fransisko alikufa mwaka wa 1507 huko [[Tours]], [[Ufaransa]].
 
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
 
== Marejeo ==
* "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1328
 
 
{{mbegu}}
 
==Marejeo==
*"Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1328
 
[[Category:Watakatifu Wakristo]]
[[Category:Waliofariki 1507]]
 
 
{{mbegu}}
[[ca:Sant Francesc de Paula]]
[[cs:František z Pauly]]
[[de:Franz von Paola]]
[[en:Francis of Paola]]
[[es:Francisco de Paula (santo)]]
[[fr:François de Paule]]
[[it:Francesco di Paola]]
[[la:Franciscus de Paula]]
[[nap:San Franciscu i Paula]]
[[nl:Franciscus van Paola]]
[[pms:Fransesch ëd Pàola]]
[[pl:Franciszek z Paoli]]
[[pt:Francisco de Paula]]
[[ro:Francisc din Paola]]
283

edits