Ansgar Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Mtakatifu Ansgar''' (labda 800 – 865) alikuwa askofukutoka Ufaransa. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 3 Februari. ==Maisha== Ansgar alizaliwa Ufaransa...
 
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Ansgar.jpg|thumb|right|200px]]
'''Mtakatifu Ansgar''' (labda 800 – [[865]]) alikuwa askofukutoka [[Ufaransa]]. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni [[3 Februari]].
 
== Maisha ==
Ansgar alizaliwa [[Ufaransa]] mwanzoni mwa karne ya tisa. Alisoma katika monasteri huko [[Corbie]]. Mwaka wa 826 alienda kuhubiri injili [[Denmark]]. Denmark hakufanikisha sana, akaenda [[Uswidi]]. Aliteuliwa kuwa Askofu wa [[Hamburg]], upande wa kaskazini wa [[Ujerumani]]. Pia alikuwa mjumbe wa [[Papa Gregori IV]] katika Denmark na Uswidi. Alivumilia magumu mengi sana katika kazi ya kueneza injili, lakini hakukata tamaa. Alikufa mwaka wa 865.
 
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
 
== Marejeo ==
* "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1281
 
 
{{mbegu}}
 
==Marejeo==
*"Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1281
 
[[Category:Watakatifu Wakristo]]
[[Category:Waliofariki 865]]
 
 
{{mbegu}}
[[cs:Ansgar]]
[[da:Ansgar]]
[[de:Ansgar (Erzbischof von Hamburg-Bremen)]]
[[en:Ansgar]]
[[es:Óscar (santo)]]
[[fr:Anschaire de Brême]]
[[is:Ansgar]]
[[it:Sant'Oscar]]
[[nl:Ansgarius]]
[[no:Ansgar]]
[[nn:Den heilage Ansgar]]
[[nds:Ansgar (Bremen)]]
[[pl:Ansgar (biskup)]]
[[ro:Oscar (sfânt)]]
[[ru:Ансгар]]
[[fi:Ansgar]]
[[sv:Ansgar]]
[[uk:Святий Ансґар]]