Spika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Spika''' (kutoka Kiingereza "speaker" ''msemaji'') ni cheo cha mwenyekiti wa bunge katika nchi zinazofuata urithi wa kisiasa wa Uingereza. Nchi nyingi zilizokuwa koloni...
 
dNo edit summary
Mstari 7:
==Historia==
Cheo cha spika kimepatikana mara ya kwanza katika bunge la Uingereza mwaka 1377 na huyu spika wa kwanza alikuwa mkabaila Thomas Hungerford. Aliitwa "spika" (msemaji) kwa sababu kazi yake ilikuwa kutamka maazimio ya bunge mbele ya mfalme.
 
[[Image:Sima Uingereza 1694.jpg|thumb|200px|Sima ya Kiingereza mnamo mwaka 1700]]
 
==Mapokeo==
Kuna mapokeo mbalimbali yanayoendelezwa katika nchi zenye urithi wa mapokeo ya kisiasa ya Uingereza ingawa ni tofauti katika kila nchi mapokeo gani yaendelea au la.
Line 19 ⟶ 21:
Katika nchi nyingi zneye cheo hiki wabunge wakihotubia bunge huelekeza matamko yote kwa spika si kwa wabunge wenzao.
 
[[Category:VyeoCheo]]
[[Category:Bunge]]
[[Category:Siasa]]