Amani ya Westfalia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
lugha
Mstari 2:
'''Amani ya Westfalia''' ilikuwa mapatano yaliyomaliza [[vita ya miaka 30]] katika [[Ujerumani]] na nchi za jirani. Mapatano yalimalizika katika mikutano kwenye miji ya Münster na Osnabrück
 
Washiriki katika mapatano ya walikuwa [[Kaisari Ferdinand III]] wa [[Dola Takatifu la RomaKiroma]], watawala wengine wa madola katika Ujerumani, [[Hispania]],[[ Ufaransa]], [[Uswidi]] na [[Uholanzi]].
 
Kati ya matokeo ya kudumu yalikuwa uhuru wa [[Uswisi]] na Uholanzi zilizohesabiwa awali kama sehemu za Dola Takatifu, mapatano kuhusu uvumilivu kati ya Wakatoliki, Walutheri na Wareformed kama madhehebu makubwa ya Kikristo katika Ujerumani na kupungukiwa kwa madaraka ya [[Kaisari]] lakini kuongezeka za haki za madola madogo ndani ya Ujerumani.